PICHA: Eneo la Club ambapo watu zaidi ya 50 wameuawa Marekani


June 12 2016 Wamarekani waliamka na habari za kushtukiza sana ambapo mauaji makubwa zaidi yametokea nchini
humo baada ya kijana Omar Saddiqui Mateen mwenye miaka 29 kuingia club moja jimboni Florida na kufyatua risasi ambazo zilisababisha mauaji ya watu wasiopungua 50.
Taarifa zinasema kwamba kulikuwa na takribani watu 320 ndani ya klabu hiyo wakati tukio hilo linatokea na watu 100 walichukuliwa mateka, Mateen alipigwa risasi na maafisa na kufariki
.
.
Mtuhumiwa wa mauaji hayo Omar Mateen
352F3A3800000578-0-image-a-11_1465773732086
352F39CE00000578-0-image-a-9_1465773696640
352F368700000578-0-image-a-5_1465773627497
352F391500000578-0-image-a-10_1465773717689
3531C4AE00000578-0-image-m-14_1465774183400
.
.
.
.
.

No comments:

Powered by Blogger.