LULU NOUMER...!! HICHI NDICHO ALICHOWAJIBU MAMLAKA YA MAWASILIANO NCHINI (TCRA) BAADA YA KUPOST PICHA HII HAPA
Baada ya September 1, 2015 Tanzania imeanza kutumia Sheria ya Mitandao ilikulinda maadili ya kitanzania sheria hiyo ikijulikana kama (CYBER CRIME).
Hivyo watanzania wote hivi sasa wako katika uangalizi mkubwa kwa kile wanachokifanya ndani ya mtandao, Nirudi kwenye Mada husika hii Inamuhusu Star wa Bongo Movie Elizabeth Micheal a.k.a LULU.
Kupitia akaunti yake ya Instagram Lulu aliweza kupost Picha ya Star wa Marekani ajulikanaye kama JUSTINE BIEBER, Ishu si Lulu kupost Picha ya Star huyo kwani imeshazoeleka kwa sasa kuwa Muigizaji huyo maarufu nchini Tanzania anamzimikia Kinoma Noma Star huyo wa Kimarekani Hadi kufikia kumuita BABY WAKE.

Katika Post hiyo Mamlaka ya Mawasiliano nchini ilipita katika akaunti ya Star huyo na kuweza kuweka Koment yake huku ikimkumbusha LULU kuwa ni Kosa kisheria kutumia Picha ya Mtu bila ruhusa yake, Jibu la Lulu sasa Aliijibu kwa kusema kuwa "HUYO NI BABY WAKE HIVYO HAINA TATIZO" hakuishia kujibu tu bali aliweza kumtag pia Justin Biber katika Comment hiyo japo haikuweza kujibiwa chochote na Star huyo wa kimarekani.
No comments: