PICHA: Yanga wamewasili Uturuki na kuanza mazoezi

 
Kikosi cha klabu ya Dar es Salaam Young Africans leo June 12 kilisafiri kuelekea Uturuki kwa ajili ya kambi ya muda
kuelekea mchezo wake wa kwanza wa Kombe la shirikisho hatua ya makundi dhidi ya klabu ya Mo Bejaia ya Algeria utakaochezwa June 20 2016 Algeria
IMG-20160612-WA0085
Yanga wamewasili salama Uturuki na kuanza kufanya mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo, Yanga wapo Kundi A lenye timu za TP Mazembe ya Kongo, MO Bejaia yaAlgeria na Medeama ya Ghana.
IMG-20160612-WA0053
IMG-20160612-WA0056
IMG-20160612-WA0058
IMG-20160612-WA0087
IMG-20160612-WA0050
IMG-20160612-WA0100


No comments:

Powered by Blogger.