VIDEO: Lissu alivyoingia kwenye mkutano wa wanasheria wakati mke wake akichangia hoja




Leo March 17 2017 mbunge wa Singida mashariki ambaye pia ni mgombea urais wa cha cha wanasheria Tanganyika ‘TLS’, Tundu Lissu alifikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu akikabiliwa na makosa manne ambayo yote alikana na baadaye kuachiwa kwa dhamana.
Baada ya dhamana mbunge huyo alisafiri na kuelekea Arusha kuwahi mkutano wa wanasheria unaofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa ‘AICC’ Arusha ambapo alipoingia ukumbini ameshangilia na kingine cha kufurahisha mke wakati huo mke wake Alicia Lissu alikuwa anachangia hoja iliyokuwa mezani ghafla. Mke wa Tundu Lissu ni Wakili wa kujitegemea. Bonyeza play hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.