TCRA yawaonya Channel Tena: Kwa kuonyesha 'live' maelezo ya Ask. Gwajima dhidi ya tuhuma za Dr Slaa!

Nimesikia sasa hivi kupitia Voice of America (Idhaa ya Kiswahili). TCRA
waliwaonya Channel Ten kwa kuonyesha 'live' maelezo ya Askofu Gwajima akijibu tuhuma za kichochezi za Dr Slaa!

Hili Taifa linahitaji kufanyia 'overhaul' wala sio mabadiliko tena, maana naona kama mabadiliko hayatoshi kabisa!

Kesho yake ikumbukwe Magazeti karibu yote yameandika stori ya Gwajima tena kurasa za mbele. Sasa unaweza kujiuliza ni kwa nini kutangazwa 'live' kuwe nongwa lakini kuandikwa kusiwe 'nongwa'?

Hakika mabadiliko ni lazima nchi hii

No comments:

Powered by Blogger.