Picha Za Wasanii Maarufu Wa Bongo Movie Wakiwa Katika Msafara Wa Kampeni Za Magufuli


Baadhi ya nyota wa Bongo Movie wakiwa katika basi lao kwenye msafara wa kampeni za mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli.
 
 Wasanii hawa na wengine wengi wa kiume na fani ya muziki wanamunga mkono mgombea wa CCM

No comments:

Powered by Blogger.