BREAKING NEWS: MSANII WA BONGO FLEVA DOGO ASLAY AMEFIWA NA MAMA YAKE MZAZI
Mwimbaji wa Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’ aliyefiwa na mama yake mzazi.
Mama mzazi wa muimbaji wa Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’, Moza Mohamed amefariki leo alfajiri katika Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam alimokuwa amelazwa. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Temeke
No comments: