Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinum siku ya
jana akiwa
na Zari na Tiffah
pamoja na team yake ya wasafi walitua mjini
Kisumu nchini Kenya, na hizi ni baadhi ya picha za mapokezi yake hapo jana
pamoja na ‘sound check’ aliyoifanya mapema leo kwa ajili ya show itakayofanyika
leo mjini humo.

No comments: