Maneno Aliyoandika JB wa CCM Juu Ya Picha Hizi Akiwa na SHAMSA na AUNTY wa UKAWA

Kufuatia tofauti za kimitazamo ya kisiasa baina ya mastaa hawa, ambapo JB akiwa upande wa CCM  wakati Shamsa na Aunt Ezekiel wakiwa UKAWA, JB kiutani kupitia ururasa wake mtandaoni ameibuka na hii kuonyesha kuwa siasa sio vita.

Imenibidi nifute picha hizi (hapo juu)...watu wamepaniki sana...Jamani siasa sio vita nilikuwa nawatania na wao wakacheka na wakati naandika wapo...mashabiki... Daah .. Daah...Jamani Bungeni wanataniana vyama tofauti na sisi pia...Tunashirikiana....Mashabiki mnisamehe kama nimewakosea...Ila ningefurahi siku moja watoto hawa wakirudi kundini pamoja na yule mwingine .....Nawapenda

No comments:

Powered by Blogger.