BREAKING NEWS: KUNDI LA KIGAIDI LA BOKO HARAMU LATOA ONYO KALI KWA DONALD TRUMP,LASEMA MANENO HAYA.
Abubakar Shekau,kiongozi hatari kabisa wa kundi la Boko Haramu,ametoa msimamo wake juu ya mshindi wa uchaguzi wa Marekani bwana Donald Trump kama raisi mpya wa Marekani na onyo kali kwamba;"Vita ndio vimeanza na mapambano ndiyo kwanza yameanza".Alisema maneno hayo akizionya nchi za magharibi.
Kwa mujibu wa shirika la Utangazaji la AFP katika ujumbe wake wa sauti aliouweka katika mtandao wake Wake wa YOU TUBE siku ya jumapili jioni kiongozi huyo wa boko haramu Abubakar Shekau alisema:
Kwa kiswahili ukimaanisha:
“Msiogopeshwe na watu kama Donald Trump na muungano wa kimataifa ambao huwa unapambana na kaka zetu walioko Iraq,Syria,Afghanistan na kila sehemu.”
“Tutasimama imara katika imani yetu na hatutasita,”alisema katika ujumbe wa ujumbe wenye urefu wa saa nzima.“Kwetu sisi mapambano ndio yameanza”

“Do not be overwhelmed by people like Donald Trump and the global coalition fighting our brethren in Iraq, Syria, Afghanistan and everywhere.”
“We remain steadfast on our faith and we will not stop,” he said in the hour-long message. “To us, the war has just begun.”
Kundi hilo la boko haramu ambalo limeanzisha mapigano ambayo ni kwa mwaka wa saba sasa, katika nchi ya Nigeria,Linapigania kutaka kuanzisha na kujitenga kwa jimbo moja lililoko nchini humo.
Boko Haram, ambayo mwaka jana walikula kiapo cha utii kwa kundi Islamic State, imekuwa katika jitihada kali za kugombea madaraka tangu mwishoni mwa mwaka jana.
wakati huo huo kiongozi wa juu kabisa wa IS mwezi wa nane mwaka huu alisema;Shekau amewekwa pembeni kama kiongozi na kiongozi mwingine mpya Abu Musab al-Barnawi,mwenye miaka 22 mwana wa muanzirishi wa kundi hilo la Boko Haramu Mohammed Yusuph.
Hata hivyo Shekau amesema,yeye kama yeye bado yuko madarakani kama kiongozi halali wa kundi hilo,licha ya kuwepo kwa mgawanyiko mkubwa sana katika kundi hilo.
No comments: