MBWEMBWE NA VITUKO KUTOKA NDONDO CUP VITAZAME HAPA
Jana Chief wa Kauzu FC aliuteka uwanja wa Bandari baada ya kutimiza ahadi yake ya kutua uwanjani kwa ungo kui-support timu yake
wakati inacheza na Black Six mchezo ambao ulimalizika kwa Kauzu FC kushonda kwa bao 1-0.
Uhondo wa Ndondo Cup upo ndani na nje ya uwanja, uwanjani unashuhudia soka safi kutoka kwa vijana wenye vipaji wakati nje ya uwanja unapata burudani kutoka kwa vikundi vya ushangiliaji ambavyo vinashangilia timu zao mwanzo mwisho.
No comments: