Hii ndio couple iliyovunja rekodi duniani kwa ufupi.
picha za couple ya watu wafupi duniani, zikiwaonyesha katika maisha yao ya kila siku,Couple hii ni kutoka nchini Brazil
ya Paulo Gabriel da Silva Barros miaka 30 na mchumba wake Katyucia Hoshino miaka 26 ambao wameingia katika kitabu cha kuvunja record duniani wakidai kua walikutana kwenye mtandao wa kijamii miaka kumi iliopita nakuanza mahusiano hayo.
No comments: