"......Unapowasimamisha Zitto, Lissu, Bulaya na Mdee, halafu akabaki
yule aliyesema tuweke mnara wa Diamond pale Posta, basi ni sawa na kocha kumtoa Samatta uwanjani na kumbakisha rafiki yangu Steve Nyerere ambaye anajiburudisha tu ground .."-
Edo Kumwembe Kaibua Hoja Nzito "..Unapowasimamisha Zitto, Lissu, Bulaya na Mdee, halafu akabaki yule....."
Reviewed by Unknown
on
04:52
Rating: 5
No comments: