Diamond Platnumz Ategua Kitendawili..Amsainisha Rasmi Rich Mavoko Kwenye Lebo yake ya WCB

Mwanamuziki Diamond amemchukua rasmi mwanamuziki Rich Mavoko na sasa atakuwa chini ya lebo
yake ya Wasafi ..Baada ya tetesi nyingi sasa leo rasmi amemtangaza mwanamuziki huyu kuwa chini ya lebo yake  Ameandika haya katika ukurasa wake wa Instagram




No comments:

Powered by Blogger.