Ratiba Ya Mechi 10 za EPL Wikiendi Hii

 
Image result for epl
Baada ya ligi karibu zote duniani kusimama kupisha michezo ya kimataifa ya kirafiki pamoja na ile ya kufuzu michunao mbalimbali ikiwemo kombe la dunia, kopa Amerika na Afcon mashabiki wengi duniani huwa wanakosa uhondo na mara nyingi wapenda soka huona wikiendi imekuwa ndefu sana lakini sasa ligi zimerudi na raha hiyo iapatikana kesho. Hapo chini kuna ratiba ya ligi ya England pamoja na mchezo utakaobeba hisi za mashabiki duniani kati ya Barcelona na Real Madrid.

England viwanja 8 vitawaka moto lakini habari kubwa ni Manchester City kuwa na majeruhi karibu nusu y kikosi cha kwanza kama Yaya Toure,Joe Hart,Fabian Delph, Rahim Sterring na Nahodha Vicent Kompany.

Chelsea vs Aston vila 14:45

Arsenal vs Watford 17:00

Liverpool vs Tottenham Spurs 19:30 E.T

Manchester city vs Fc Bournemouth

Norwich vs  Newcastle United

Stoke city vs Swansea City

Sunderland vs westbromwich

Westham United vs Crystal palace

Jumapili kutakuwa na mechi mbili

Southampton vs Leicester City


Manchester united vs Everto

No comments:

Powered by Blogger.