Wanachama Wa Yanga Wakusanyika Klabuni na Mabango, Sababu Kubwa ni

Wanachama na wapenzi wa Yanga wakiwa wamejitokeza makao makuu ya klabu yetu
kwa ajili ya kumsindikiza Mwenyekiti wa Yanga katika zoezi la kuchukua fomu akiomba ridhaa nyingine ya kuomba kuiongoza Yanga.

Wanachama hao wamebeba ujumbe-"UNASEMA MANJI HAJAIFANYIA KITU YANGA, JIULIZE WEWE UMEIFANYIA NINI?






No comments:

Powered by Blogger.