Pengine safari ya Arsene Wenger imefikia tamati Mrithi wake atajwa soma apa
Headlines za vibarua vya makocha wa Ligi Kuu Uingereza msimu huu kutoka katika vilabu vikubwa
kuwa mashakani
vinazidi kushika kasi kila kukicha, ilianza kwa kocha Jose Mourinho kufukuzwa kazi na Chelsea baada ya kuhusishwa kwa wiki kadhaa.
Majina ya kocha wa Man City Manuel Pellegrini, kocha wa Man United Louis van Gaalna sasa kocha wa
klabu ya Arsenal aliyodumu na klabu hiyo kwa zaidi ya
miaka 10Arsene Wenger March 21 ameripotiwa kuwa huenda
akafutwa kazi na nafasi yake kurithiwa na Jose
Mourinho.
No comments: