majibu ya Jerry Muro kwa wanaosema amewatukana Simba
Baada
ya mkuu wa idara ya habari na mawasiliano
wa klabu ya Simba Haji
Manarakumtuhumu afisa habari wa Yanga kuwatukana Simba na viongozi wake, Amplifaya yaClouds FM ilimtafuta afisa habari wa Yanga Jerry
Muro ili aweke
sawa habari hizo kwa upande wake?
“Kama
kuna mtu anaona kauli zangu hazijamtendea haki, mimi nimshauri tu
kuna vyombo husika, wapo watu wa Media Council of Tanzania na TCRA,
wao wanahusika na masuala ya maudhui, kwa kawaida tu hakuna chombo cha habari
kinaweza rusha matusi hewani, sasa kama wewe unaona Jerry akiongea kitu kina
kukera basi sio lazima unisikilize, zima redio au tv kwani lazima unisikiliza?
” >>> Jerry Muro
Unaweza
cheki video ya majibu ya Jerry Muro hapa
No comments: