Msanii Nay wa Mitego baada ya
nyimbo yake kukatazwa
kuchezwa katika vituo mbalimbali vya radio na Basata
ameachia video ya wimbo huo unaitwa “Shika Adabu Yako”, Video imeongozwa na
Nicklass, angalia hapa alafu toa maoni yako.
Tazama Video Mpya ya Wimbo wa Nay wa Mitego Shika Adabu Yako
Reviewed by Unknown
on
07:06
Rating: 5
No comments: