Lionel Messi kaifunga Arsenal Ligi ya Mabingwa Ulaya na kuvunja rekodi yake hii kwa Cech
Usiku wa February 23 klabu ya FC Barcelona
ya Hispania ilikuwa imesafiri kutokaHispania hadi London Uingereza kukutana na Arsenal katika mchezo wao wa kwanza wa michuano ya klabu Bingwa barani Ulaya mchezo ambao ulikuwa wa hatua ya 16 bora, hivyo kila timu ilikuwa inahitaji ushindi.
kwa Lionel
Messi kuipatia
FC Barcelona ushindi wa goli 2-0, magoli ya Lionel
Messi yaliofungwa
dakika ya 71 na 83, yalifanya mitaa mbalimbali ya LondonUingereza
kupooza, kwani ndio makazi ya mashabiki wengi wa Arsenal.
Kwa matokeo hayo Arsenal italazimika kwenda Nou
Camp kusaka
ushindi wa zaidi ya goli mbili ili iweze kuiondoa FC
Barcelona na wao
watinge robo fainali. Hata hivyo ushindi wa goli mbili kwa Lionel
Messi dhidi ya
kipa wa Arsenal Petr
Cech, unavunja mwiko waMessi kutowahi kumfunga Petr
Cech kwa jumla ya
muda wa masaa 10 na dakika 11
No comments: