Dangote Yaanza Kusambaza Cement Tanzania...Bei ya Mfuko Mmoja wa Cement Hii Hapa...

Kile kiwanda kikubwa cha Africa mashariki
na Africa kwa ujumla kwa
mara ya kwanza kimeanza kuzalisha kusambaza cement jana tar 21/02/ 2016.
Kiwanda hicho ambacho ni tegemeo jipya kwa waakazi wa mikoa kusini
Mtwara na Lindi kiliahidi ajira nyingi ya wakaanzi wa mikoa hiyo na watanzania
kwa ujumla
Cement tayari iko maduka kwa bei nafuu ya sh 13,500 tofauti na
cement ya viwanda vingine.
Tunawakaribisha wateja wa
cement hiyo na wenye magari makubwa kufungua office mkoani Mtwara ili kuongeza
ajira za madereva hapa mkoani.
No comments: