Ushindi bila kupingwa wa hawa wabunge wapingwa
Kufuatia Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutangaza baadhi ya majimbo, wagombea wa CCM wamepita bila kupingwa, hali iliyopelekea wagombea wa vyama vya upinzani kukata rufaa NEC
.
Baadhi ya rufaa zilizokatwa wagombea wamefanikiwa kushinda, hivyo majimbo hayo hayatapitwa bila kupingwa kama ilivyokuwa imetangazwa awali.
Majimbo hayo ni:
1. Handeni
2. Chalinze
3. Bumbuli
4. Ukonga
5. Ludewa
No comments: