Hii ndio zawadi wa Dimpoz kwa Wema


Haya ndiyo maneno aliyoandika staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu katika mtandao wake wa Instagram baada ya kupewa zawadi ya simu na msanii mwenzake, Ommy Dimpoz: “Akhsante bwana Omary Nyembo a.k.a Dimpoz kwa poz kwa zawadi ya simu toka US japo imenitoa ushamba hahahahahaha!”

No comments:

Powered by Blogger.