picha hizi za LULU zaleta mafuriko huko instagram

Picha: Hizi za Lulu Za Sababisha Mafuriko Huko INSTA
Picha za staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa ametupia kimamtoni zimesababisha mafuriko ya LIKES na COMMENTS kwenye ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram hiyo jana mara baada ya kuzibandika.
Wengi wamefunguka na kummwagia sifa nyingi kwa jinsi alivyotokelezea na mapigo hayo.
“Pale unapokumbuka huna safari ya Ulaya Leo wala Kesho...!Unaamua Kujigeuza RIHANNA na kukatisha mitaa yako ya HOLLYWOOD ki roho....
Yani hapa ndo nishajikuta HOLLYWOOD sitaki Maswali wala Ushauri… Me am Biziii”
- Lulu aliandika kiutani kwenye moja hapo juu.
Hakika ametokelezea.
Mzee wa Ubuyu

No comments:

Powered by Blogger.