Wolper Atoa Udhuru 40 ya Tiffah, Amkumbusha Diamond Kutoroka…
Mapema leo staa wa Bongo Movies, Jacqueline Lowassa kupitia kurasa wake kwenye mtandao wa
Instagram aliandika haya akitoa udhuru wa kutohuduria 40 ya mtoto wa staa wa Bongo Fleva Diamond Platnum, Tiffah iliyofanyika leo nyumbani kwa Diamon
d.40 ya Tiffah Lee Queen Asante bwana Demonde kwa mualiko ..ila ulivyomswahilI kila mualiko nakua nakamtoko au nakua sipo kabisa Dar sasa kivumbi pale kwenye harusi yangu ule mualiko sasa utakavyojisafirisha ili kunilipizia usifanye hvyo mambo yanaingiliana..lol ...hongera sana Naseeb najua furaha uliyonayo Mungu kukuzia Tiffah wako...coz ilikua ni ndoto katika maisha yako kua na mtoto kikubwa Mungu akusimamia kwenye sherehe kuna Mambo mengi so nakuombea uanze salama na umalize salama nawale wageni waalikwa wakose chakukosoa maana tunajijuaga…@diamondplatnumzusisahau kutoroka bado ujachelewa
Jacqueline Wolper “@wolperstylish on Instagram
No comments: