Wema Sepetu na Tundu Lissu Wafikishwa Mahakamani Mchana Huu
Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu pamoja na Mwigizaji Wema Sepetu wamefikishwa Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu mchana huu kujibu tuhuma zinazowakabili.
Tundu Lissu kasomea mashitaka manne ya uchochezi .Kesi inayomkabili Wema Sepetu ni kukutwa na msokoto wa bangi nyumbani kwake
No comments: