Breaking News!! NOAH YAUA WATU 18 SHINYANGA..ANGALIA PICHA INATISHA SANA

Ajali ya Noah Nsalala Tinde Shinyanga Malunde1 blog
Noah ikiwa imeharibika-Picha zote na carol- Darubiniyako


Ajali ya Noah Nsalala Tinde Shinyanga Malunde1 blogAjali ya Noah Nsalala Tinde Shinyanga Malunde1 blog
Noah ikiwa eneo la tukio
Ajali ya Noah Nsalala Tinde Shinyanga Malunde1 blog
Lori likiwa limeharibika
Ajali ya Noah Nsalala Tinde Shinyanga Malunde1 blog
Lori likiwa limeharibika
Ajali ya Noah Nsalala Tinde Shinyanga Malunde1 blog

Miili ya watu waliofariki dunia katika ajali ya Noah kugongana na lori


Ajali ya Noah Nsalala Tinde Shinyanga Malunde1 blog

Watu 18 wamefariki dunia na watatu kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari aina ya Noah iliyokuwa inatoka Nzega mkoani Tabora kuelekea Tinde mkoani Shinyanga na lori aina ya Scania lililokuwa linatoka Kahama kuelekea Dar es salaam.


Ajali hiyo imetokea leo 
Jumapili,November 06,2016 majira ya mbili kasorobo usiku katika eneo la Nsalala kata ya Tinde mkoani Shinyanga (Barabara ya Nzega- Shinyanga).

"Noah ilikuwa inataka kulipita lori jingine ndipo ikagongana uso kwa uso na lori lililokuwa linatoka Kahama... watu waliopoteza maisha papo hapo ni 15,watatu wamefariki wakati wakipatiwa matibabu,ajali inatisha,dereva wa Noah kajisalimisha kituo cha polisi Tinde",kimesema chanzo chetu cha habari.

Majeruhi wamekimbizwa hospitali ya mkoa wa Shinyanga. 

No comments:

Powered by Blogger.