Tukio hilo lazua taharuki, jeshi la Polisi lafanya uchunguzi zaidi.
Inasemekana kaanza kupiga chafya akiwa chumba cha maiti, kisha akaanza kukuruka kabla ya kuomba maji, hiyo ni baada ya kifo chake kuthibitishwa na daktari.
Je, wadhani upo uwezekano mtu kufa na kisha kufufuka? Toa maoni yako!
No comments: