VideoMPYA: Meda wa barua ya Diamond katuletea nyingine inaitwa ‘Alele’
Ukubwa
wa jina lake ulionekana baada ya kuachia hit song iliyoitwa ‘barua ya Diamond‘, huyu anaitwa Meda Classic msanii wa bongo flava kutokea Iringa
ambaye
kwa sasa katusogezea mdundo wake mwingine mpya unaoitwa ‘Alele‘ ambao audio yake imesimamiwa na producer Maxmaizer wakati video ikiongozwa
na Deo Abel.Ukimaliza kuitazama hapa chini unaweza
kudondosha comment yako kisha baadaeMeda Classic atapita
kuzisoma zote..
No comments: