Baada ya miaka 10 Materazzi kaweka wazi kilichomfanya apigwe na Zidane

A photo taken 09 July 2006 shows French midfielder Zinedine Zidane (L) gesturing after head-butting Italian defender Marco Materazzi during the World Cup 2006 final football match between Italy and France at Berlin?s Olympic Stadium.  AFP PHOTO  JOHN MACDOUGALL (Photo credit should read JOHN MACDOUGALL/AFP/Getty Images)
Beki wa kati wa zamani wa timu ya taifa ya Italia na klabu ya Inter Milan ya Italia Marco Materazzi, usiku wa July 8 2016
ameamua kuweka wazi kilichomfanya apigwe na nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa ambaye kwa sasa ni kocha wa Real Madrid Zidane.
Marco Materazzi ameweka wazi kilichomfanya Zidane ampige kichwa katika mchezo wa fainali ya Kombe la dunia 2006, tofauti na ilivyokuwa inaripotiwa na wengi, Materraziamekuwa akiombwa na vyombo mbalimbali vya habari duniani lakini alikuwa akikwepa kuzungumzia suala hilo

“Toka 2006 nimekuwa nikipokea maombi mengi ya kufanya interview, nimeamua kutoa kitabu kinachoeleza ukweli kwa sababu kila mtu anauliza ni nini nilimwambia Zidane hadi akapandwa na hasira na kunipiga kichwa, ni kweli maneno yangu yalikuwa ya kijinga lakini Zidane hakustahili kureact vile”
reuters84960060907222746_big



No comments:

Powered by Blogger.