VideoMPYA: Unakaribishwa kuitazama Jike Shupa ya Nuh Mziwanda ft Alikiba


Zimepita wiki kadhaa toka msanii wa Bongofleva Nuh Mziwanda alivyoachia audio ya hit single ya ‘Jike Shupa’
 aliyomshirikisha Alikiba, leo June 11 2016 imeachiwa rasmi video ya hit single ya ‘Jike Shupa’, enjoy kwa kutazama dakika tatu na sekunde 50 za video yenyewe mtu wangu

No comments:

Powered by Blogger.