VIDEO: Manji kawaomba Yanga wamchague ila kama wanataka uwanja Jangwani, wanatakiwa wajue hili


une 10 2016 ndio ilikuwa siku ambayo uongozi wa kamati ya uchaguzi wa Yanga na wagombea wote walifunga kampeni zao
ikiwemo mgombea wa nafasi ya uenyekiti Yusuph Manji, kubwa ni sera za Manji ambapo amewaambia wanachama kama wanataka uwanja ni lazima wakubali kupambana.
“Kama tunataka eneo hili ujengwe uwanja ni lazima tukubali kupambana kwa namna yoyote ile, ikiwemo tuombe kibali cha maandamano ili tupate vibali vya kuwezesha tujenge uwanja, hili jambo ili lifanikiwe hatuwezi kufanikiwa kama mtu akiwa kalala kitandani”

No comments:

Powered by Blogger.