Diamond Platinumz amkabithi Paul Makonda, mchango wa madawati 600.

kuna tukio kubwa atafanya siku ya J'tatu. Na leo hii ametimiza ahadi hiyo baada ya kumkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, mchango wa madawati 600.
Kama mtanzania mzalendo, tupia neno moja la pongezi kwake
No comments: