Siri za Askofu Malasusa zamwagwa

Askofu wa Dayasisi ya Mashariki na Pwani, Alex Malasusa akihutubia waumini wake
DAKTARI Alex Malasusa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na
Pwani (DMP) ameendelea kusakamwa na waumini wake kuhusu tuhuma mbalimbali, anaandika Wolfram Mwalongo.
Tuhuma zake za sasa zinaorodheshwa katika waraka ulioandikwa kwa Mkuu wa Kanisa hilo nchini, Dk. Fredrick Shoo na baadhi ya waumini ukimtaja askofu huyo kutumia vibaya mali za kanisa, kujihusisha kimapenzi na wanawake wakiwemo wake wa viongozi wa kanisa hilo.
Kwa taarifa zaidi soma gazeti la MwanaHALISI la leo katika ukurasa wa 6

No comments:

Powered by Blogger.