Prof. Tibaijuka alia na mtandao wa Mafisadi. kuwatoa kafara wao.ungali wenyewe hauguswi

Akiongea na Count Down ya Clouds Fm Prof Tibaijuka amesema yeye ni
muhanga wa ufisadi. Amesema kuna mtandao wa mafisadi unaotoa watu kafara na wenyewe hauguswi.

"Naafiki kuanzishwa kwa mahakama ya mafisadi, labda itasaidia kukamatwa na kushitakiwa mafisadi wenyewe. Maana wengine tunatolewa kafara na mtandao hauguswi, labda zitaachwa kukamuliwa nyama na kuziita majipu". Alisema Prof Tibaijuka.



My take:

Mtandao huu ni upi? Unalindwa na nani? Hivi Prof ni msafi au anajitetea?.....

No comments:

Powered by Blogger.