Nape apata wakati mgumu akihojiwa na DW Kuhusu Kufungia Mawio na Kuzuia Matangazo ya Bunge live
Akihojiwa na DW amesema ni kweli sheria ya magazeti ya mwaka 1976 ni mbovu na inapelekwa bungeni kuibadilisha
. Alipoulizwa kwamba kama amekiri sheria hiyo ni mbovu ikiwa itafutwa na maamzi ya kulifungia Mawio yatabatilishwa kwa vile yalifanyika kwa kutumia sheria mbovu? Akasema sheria hata kama ni mbovu lazima iheshimike hivyo maamzi yatabaki pale pale.
Kuhusu bunge kurushwa live Nape amesema watumishi wa serikali walikuwa wakiiba muda wa kazi kutazama bunge. Alipoulizwa kwa nini hatua za kiutendaji zisichukuliwe badala ya kusitisha matangazo na kwa nini mwanzoni alisingizia gharama. Akajibu kwamba suala hilo si la serikali bali bunge "Kwanza hili suala si la serikali, bunge liliona ni kuna redio 125 nchi hii na wote hawawezi kuleta mitambo yao hapa hivyo wakatengeneza studio ambayo redio zote zinaweza kupata matangazo" alisema.
Alipobanwa kwamba kwa nini redio na Tv zilizo na uwezo wa kurusha moja kwa moja zilizuiliwa? Akajibu, mbona South Africa wanafanya hivyo na hakuna malalamiko? "Nchi nyingine kama South Africa inaonyesha masaa 8 live na baada ya hapo wanarekodi huko mbona hawalalamik

No comments: