Mtoto wa miaka 14 anayesadikika kupewa ujauzito na Ostadhi azua utata


May 3 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib ametuletea
muendelezo wa Hekaheka ya Ostadhi aliyetuhumiwa kumpa mimba mwanafunzi wa Madrasa,
Taarifa zilimfikia Shangazi wa mtoto kuwa mtoto anaingia kwenye gheto la Ostadhi, shangazi alienda kumpima Mimba, kwa mujibu wa shangazi vipimo vilionyesha mtoto ni mjamzito, mtoto ameeleza ni kweli ametembea na Ostadhi mara moja.
Shangazi anamtuhumu mama mtoto kumpeleka mtoto kutoa mimba baada ya kuchukua fedha kutoka kwa mtuhumiwa…….>>>mama yake ameonana na watuhumiwa wakamtoa mimba, tutampeleka kwa daktari akatibitishe, daktari akatuambie amejaza fomu kwamba mtoto ni mjamzito imeenda wapi:- Shangazi wa mtoto
>>>mimi sijui kama mwanangu ana mimba, mimi sijaenda nae sehemu yoyote kumtoa mimba na siwajui hao ndugu zake Ostaz tunakutana polisi tunasalimiana basi:Mama wa mtoto

No comments:

Powered by Blogger.