Je Zari na Aliyekuwa Mumewe Ivan Wamerudiana? Hizi Picha zazua Utata Mkubwa Huko Insta


Huku Instagram picha hizo mbili zimekuwa gumzo leo baada ya Mama mtoto wa Diamond
kwasasa Zari Hassan na aliyekuwa mumewe Ivan Kuonekana wamepiga picha sehemu moja inayofanana kwenye sehemu ya kuogelea..Picha hizi zimeleta wasiwasi kuwa huenda wawili hao walikuwa pamoja wakiogelea huku wengine wakimtetea Zari na kusema kuwa yeye alikuwa hiyo sehemu siku nyingi lakini Ivan ameenda sehemu hiyo hiyo na kupiga picha na kuzitupia mtandaoni leo kumuumiza Diamod  na kuwapa watu cha kuongea

No comments:

Powered by Blogger.