Usichukue muda kujiuliza mara yako ya mwisho kutazama video mpya ya Mh. Temba ilikua lini? right now yuko kwenye spika
zetu na hii single inaitwa
‘fundi’ na ukishatazama usisahau kuniachia comment yako hapo chini ili
Temba akipita hapa ajue mashabiki wake wameipokeaje.
No comments: