Baada ya Kujua Mshahara wa Rais, Mtujuze Sasa Mshahara wa Mwenyekiti wa CHADEMA
Hapo Nyuma kulikuwa na Kelele kuhusu mshahara wa Rais.
Sasa Jana Rais kavunja mzizi wa fitna na kutuambia anapokea kiasi cha sh. Ml 9.
Niwakati wa Mbowe naye kutuambia hadharani
Kiasi anacho (jilipa )maana yeye ndie mlipaji
Ni shilingi ngapi kwa mwezi?
Pia kwakuwa niwakati wa uwazi na Mabadiliko ya ukweli
Atuambie pia malipo ya Makao makuu ya CDM pale ufipa iwe ni kwa mwaka au kwa mwezi ni shilingi ngap
No comments: