TANZIA:MWENYEKITI CHADEMA IRINGA AFARIKI DUNIA


c477cb46c861ef4f5dbded4a915542f0.jpg 
Mwenyekiti wa CHADEMA wa Wilaya ya Iringa Vijijini Sinkala Mwenda amepata ajali jioni ya leo eneo la Tanangozi
.

Amekimbizwa hospitali lakini kafariki dunia usiku huu.
Picha nyingine hazifai
watia nia.jpg 
Lucas Sinkala Mwenda wakati wa uhai wake

Sinkala Mwenda alikua Mwanasheria Kijana Msomi wa CHADEMA. Mwenda alikuwa mgombea kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga 2014 ambaye aliwashinda wagombea wengine 12 katika kura za maoni ndani ya chama, alipokwa ushindi na chama hicho na kikamteua mshindi wa pili Grace Tendega kupeperusha bendera katika uchaguzi mdogo huo.

Kwa sasa alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Iringa Vijijini

No comments:

Powered by Blogger.