HAYA NDIO MADHARA KUMI NA TANO YA DAWA ZA MENO USIYOYAJUA.

katika dunia hii ya viwanda na biashara kuna mambo mengi tunayatumia kwenye miili yetu kama mafuta ya kujipaka, mafuta ya kula,perfum, bodspray
, vyakula  na kadhalika ambavyo vinatuathiri sana kiafya na kusababisha vifo vingi duniani. hivi majuzi marekani wametengeneza mahindi ya kupunguza uwezo wa kuzaa na wana mpango wa kuyaleta africa kama msaada wakati tatizo la kutozaa limeshakua kubwa huku africa. leo ntaongelea dawa za meno tunazotumia kila siku ili niionyeshe dunia madhara yake kwani pamoja na madhara makubwa ya kiafya yatokanayo na dawa hizo za meno hakuna anayeweza kupaza sauti kwani ataua bishara za watu. dawa zote za meno zimechanganywa na kitu kinaitwa floride isipokua dawa moja tu ya forever toothpaste ndio imewekewa vitu asili tu bila kemikali hizi.
   flouride ina madhara yafuatayo;

  • husababisha cancer za aina mbalimbali.
  • huharibu ubongo kwa mtoto ambaye yuko tumboni.
  • hupunguza homoni za uzazi
  • huleta matatizo ya jointi za mifupa.
  • hupunguza uelewa wa watoto darasani.
  • husababisha kusahau sana.
  • hupunguza kinga ya mwili
  • inapunguza uwezo wa kuzaa kwa mwanaume na mwanamke.
  • hupunguza urefu wa maisha.
  • husababisha figo kushindwa kazi
  • inaua seli za ubongo.
  • inapunguza uzalishaji wa damu.
  • inaharibu kuta za tumbo la chakula.
  • huweza kusababisha ugonjwa wa akili.
  • inaharibu fidhi za meno.
ushauri; dawa zote za meno zinaonya kwamba mtoto akiimeza kwa bahati mbaya au mtu mzima akimeza nyingi kwa bahati mbaya akimbizwe hospitali haraka. sisi wote tunafahamu kwamba watoto wote humeza dawa za meno wakiwa wanapiga mswaki lakini pia hata watu wazima huwezi kutema dawa yote, lazima kuna kidogo sana itabaki mdomoni ambayo utaimeza tu. ni dawa ya forever toothgel pekee ambayo unaruhusiwa kuimeza bila shida yeyote kwani ikimezwa ina uwezo wa kutibu shida zingine za ndani ya tumbo. hivyo tuache kukwepa kununua dawa bora ya elfu kumi na tano au ishirini huku tukiandaa mamilioni ya pesa ya kwenda kutibiwa hospitali baada ya kupata madhara hayo hapo juu.

                                                   STAY ALIVE

          DR KALEGAMYE HINYUYE MLONDO 0653095635/0769846183

1 comment:

Powered by Blogger.