VideoMPYA: Juma Nature katoa video mpya inaitwa ‘Kidaruso’ humo ndani kaonekana Miss Tanzania 2014/2015
Juma Nature ni miongoni mwa mastaa wenye umri mkubwa kwenye muziki wa bongofleva na bado wameendelea
kutosimama kuachia kazi mpya kila wakati, mpya ya leo ya Juma Nature ni hii kamshirikisha Cannibal wa Kenya inaitwa ‘Kidaruso‘ ukishaitazama pia usiache kutoa comment yako ili akipita ajue mashabiki wake wanasemaje
No comments: