Tazama Picha Ya Awilo Longomba na Diamond walipokutana Paris, kifuatacho..?
Diamond, Zari, Awilo Longomba na Zari wakiwa Paris, Ufaransa
Hakuna shaka kuwa ngoma ya Awilo Longomba na Diamond Platnumz soon itasikika kwenye spika zako.
Wawili hao wamekutana Paris, Ufaransa na Awilo hakuchelewa kuonesha furaha yake kukutana na familia ya Chibu, yaani Zari na mtoto wao Tiffah. Kuna kila dalili kuwa kutano lao lilikuwa ni la mazungumzo ya collabo.
Muimbaji huyo mkongwe wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo amepost picha nne kwenye akaunti yake ya Instagram.
No comments: