ENTERTAINMENT Cyril Kamikaze kaguswa na headlines za Mkali wa Hip Hop Chid Benz, kayaandika haya
Headlines za
msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Ilala,
Rashid Makwilo aka Chid Benzz inazidi kuchukua nafasi katika mitandao
mbalimbali, sasa leo March 20, 2016 mkali Cyril Kamikaze kupitia ukurasa wake
wa instagram ameonekana kuguswa na kuamua kuandika.
‘Mara nyingi binadamu anapokua kwenye matatizo
ndipo kila mtu ana mnyooshea kidole , kiukweli nina fahamu pressure ya kua mtu
maarufu ilivyo na wakati mwingine kama hauja jipanga vizuri ni kitu kinaweza
kukutesa sana kwa sababu unapo kua mwenyewe na kuwaza inaweza kukupeleka pabaya
kabisa sababu ni presha nzito sana ambayo wengii hawawezi control ata wewe
ambae unaishi maisha ya kawaida ukiingia huku tulipo ungeelewa kwa sasa najua
ni ngumu,kuna wengine wanajatibu kujiua wengine wanarukwa na akili wakati walikua
wazima ila yote ni mambo na matatizo tunayokutana nayo duniani sometimes the
state of mind inakua ngumu kua controlled’ – Cyril
‘Kuna msemo unaosema kabla hujafa hujaumbika
,Ila binadamu tuwe tunajaribu kum push mtu ata kwa uzuri Chid amekuwa akijaribu
kutoa nyimbo kadhaa lakini wengi hawakutoa support ya ku post cover yake kama
ambavyo hizi picha za afya yake kubadilika zilivyo trend , sio kitu kizuri kuna
muda wewe kama binadamu unahitaji kujua kuna kupanda na kushuka kuna magonjwa
na afya njema utajiri umaskini hili linamkuta yoyote yule haijalishi kama
maarufu ama sio… Wakati huu sio wakumcheka Chid Benz ni muda wakuwa karibu na
kum support’ – Cyril
‘Support yako mtanzania hata kumpa moyo
kumpokea kwa ku support kazi zake zinaweza mbadilisha chid huyu mnae muona leo
na kua a better person ila kejeli na maneno machafu huzidisha mawazo na
kumfanya awe vibaya zaidi .. Well najua kaka yangu Rashid uko strong
sana,sababu mi napata nafasi ya kuongea nawewe huo mwili wala isiwe sababu ya
watu kuona namna gani vipi najua unaweza vuka kwenye hii hali naamini Mungu
yuko pamoja na wewe bado nafasi ipo saaana mfalme wa ilala DONT GIVE UP !!
#CHIDBENZANAWEZA #HALIYACHIDBENZSIOMWISHOWAKE #SUPPORTCHIDBENZ’ – Cyril
No comments: