Christopher Ole Sendeka Msemaji mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM)


Chama cha Mapinduzi CCM leo kimemtangaza aliyekuwa mbunge wa jimbo la Simanjiro Christopher Ole Sendeka kuwa msemaji mpya wa chama.
Ole Sendeka ametangazwa rasmi na Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Abdulrahman Kinana mbele ya Waandishi wa Habari jijini Dar leo hii.


Anatarajiwa kuthibitishwa rasmi na mkutano mkuu wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika mwezi Juni mwaka huu.

No comments:

Powered by Blogger.