Breaking News: Ajali Mbaya Yatokea Msafara wa Wabunge Kamati ya Tamisemi Bagamoyo...Lori Laparamia Msafara Vifo Vitano Vimeripotiwa


Msafara wa Wabunge wa kamati ya Tamisemi wapata ajali katika eneo ya mteremko wa kerege
. Watumishi 5 wa Halmashauri ya Bagamoyo na dereva wamefariki ila wabunge wamepona wote. Hii ni baada ya Lori kuparamia msafara wao. Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi.

No comments:

Powered by Blogger.