Wasanii wenye mkwanja mrefu zaidi mwaka 2016 kutoka Forbes Hip-Hop Cash Princes.

fetty-eye
Rapa Fetty Wap ameongoa orodha ya wasanii wenye pesa zaidi walioitwa ‘Prince’ wa HipHop na jarida la Forbes
.
Hii ni orodha ya Forbes ya Hip-Hop Cash Princes ya mwaka 2016. Orodha hii imetayarishwa na Hit-Boy, Charlamagne Tha God, Atlantic Records chief Craig Kallman,na wafanya kazi wa Forbes.
Fetty Wap ameongoza kwenye orodha hii kutokana na mafanikio ya kazi zake kama “Trap Queen,” “679,” “Again,” na “My Way,”.
Forbes Hip-Hop Cash Princes 2016
Boi-1da
DeJ Loaf
Fetty Wap
G-Eazy
Joey Bada$$
Lil Dicky
Little Simz
Logic
Metro Boomin

No comments:

Powered by Blogger.