Picha 3 abiria wanusurika kuzama baharini baada ya Pantoni kuzima ghafla Dar
Taarifa zilizo make headline muda huu ni pamoja na hii ya Pantoni kuzima ghafla Dar
na kulazimika abiria wajitose baharini kuokoa maisha yao, hadi sasa haijafahamika kama kuna arhari iliyopatikana. Endelea kukaa karibu na millardayo.com ili zote zitakazonifikia iwe rahisi kukusogezea. Na hizi ni picha za mwanzo..!
No comments: