Mwenyekiti wa Chama
cha Mapinduzi
CCM Taifa na Rais Mstaafu Dokta Jakaya Kikwete amewataka
watanzania kupuuzia uvumi unaoenezwa kuwa yeye ndiye aliyetoa amri ya kufuta
matokeo ya Uchaguzi wa Zanzibar.
Amesema Tume ya
Uchaguzi ya Zanzibar ina mamlaka kamili na hakuna mtu
ambaye anaweza kuiingilia.
No comments: